KIKOSI chetu cha Yanga Princess leo watawakaribisha Amani Queens kwenye mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL) utakaopigwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Uhuru .

Simba Queens ndio vinara kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 22 huku JKT Queens wakishika nafasi ya pili na alama 18, Princess wanashika nafasi ya 3 wakiwa na alama 17.