• Young Africans Sports Club
MPYA
  1. USAJILI WANACHAMA KIDIJITALI ZAMU YA KAGERA
  2. VIINGILIO VITAL O VS YANGA VYATAJWA
  3. YANGA 4-0 GREEN WARRIORS.
  4. RAIS HERSI: YANGA HII NI LEVO NYINGINE
  5. DUBE ANOGEWA NA MAKOMBE YANGA

MASWALI

Maswali kuhusu usajili wa wanachama

  1. Tembelea tawi lililopo karibu nawe ili upatiwe fomu ya uanachama
  2. Ambatanisha vitu vifuatavyo kukamilisha usajili wako tawini.
  • Picha 2 (passport size) zenye background ya bluu
  1. Lipia shilingi 2,000 Tsh kwa ajili ya fomu.
  2. Lipia shilingi 29,000 tsh kama ada ya uanchama.
  3. Unaweza lipia kwa
  • M Pesa (888844)
  • Tigo Pesa (888844)
  • Airtel (555533)
  1. Jaza taarifa zako kwenye fomu na umkabidhi kiongozi wako wa tawi.
  2. Taarifa zako zitatumwa Kilinet kwa ajili ya kuwekwa kwenye mfumo

 Ndio unabidi uwe na tawi ili uweze kukamilisha usajili wako, Matawi ya uanachama wa Yanga yapo nchi nzima, tafadhali wasiliana na Tawi lililopo karibu nawe.

Ndio, ili kuweza kukamilisha usajili na utambulike na mfumo ni lazima ulipe 29,000 pale unapoenda kujisajili rasmi

Kuwa na Nida ni muhimu lakin iwapo mtu hatokuwa nayo basi ataweza kusajiliwa kama kawaida

Kwa walio nje ya nchi wataweza kujisajili kwa mfumo wa kimtandao yani digital, kupitia App au Website.

Timu yetu itajitahidi kufika kila pahala nchini lakin kwa ambapo ni ndani sana basi ni kuwasiliana na Yanga kwa ngazi ya mkoa ili waweze saidia maelezo zaidi kuhusu matawi yanayopatikana maeneo hayo.

Wasiliana na Wahudumu  wetu  kwa namba +255 767 782 304 ili uweze kupata msaada wakaribu zaidi.

    Uliza Maswali

    Je, hujapata jibu la swali lako?

    Main Sponsor