Hiki ndicho kikosi kinachoanza dhidi ya US Monastir , mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Stade olympique de Radès  majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania kwenye mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.