Kikosi cha wachezaji wetu mapema leo walifanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wetu wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho dhidi ya US Monastir utakaochezwa siku ya Jumapili ya tarehe 12 kwenye dimba la Stade Olympique de Radès jijini Tunis. Bonyeza link kutazama mazoezi hayo.