Matangazo mbashara kutoka Uwanja wa Uhuru, Yanga Princess wakiwakaribisha Tiger Queens kwenye Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite.