Tazama dondoo za mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting uliomalizika usiku huu kwenye dimba la Benjamin Mkapa na kushuhudia Yanga wakiondoka na alama tatu baada ya ushindi wa goli 1-0.