Hiki ndicho kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Big Stars FC kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2023, mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja Wa Amaan , Zanzibar kuanzia majira ya saa 2:15 usiku.