Tazama furaha ya ushindi kutoka kwa nyota wetu wawili, Mudathir Yahya na Dickson Ambundo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM