MCHEZO wetu wa timu ya Yanga Princess dhidi ya Alliance Girls utachezwa Januari 6,2023 na sio kesho kama ilivyopangwa hapo awali.

Sababu za mchezo huu kusogezwa mbele ni changamoto ya usafiri waliyoipata timu ya Alliance wakiwa njiani kuja Dar Es Salaam.

Mchezo huo wa nne wa Yanga Princess msimu huu, utapigwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jijini Dar Es Salaam majira ya saa 10:00 iioni.