Hiki ndicho kikosi kinachoanza kwenye mchezo wetu wa kwanza kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2023 , dhidi ya KMKM utakaopigwa kwenye uwanja wa Amaan Stadium saa 2:15 Usiku.

Kikosi Kinachoanza.

1.Eric Johola
2.Ally
3.David Bryson
4.Bakari Nondo
5.Ibrahim Abdullah
6.Zawadi Mauya
7.Chrispin Ngushi
8.Farid Mussa
9.Clement Mzize
10.Lazalous Kambole
11.Dickson Ambundo

Subs
Haji
Ninja
Kiakala
Solano
Mudathir
Fred
Daruweshi
Yacouba
Tamila