Tazama yalivokuwa mapokezi ya ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Mudathir Yahya alivojiunga na wenzake visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Mapinduzi.