ZOEZI la usajili wanachama kwa mfumo wa kidijitali ambalo limekuwa likifanyika mikoa mbalimbali ya Tanzania, itaendelea mwezi huu Agosti ambapo sasa ni zamu ya Mkoa wa Kagera.

Kabla ya Kagera, tayari timu yetu inayohusika na zoezi hilo imezunguka mikoa tofauti ikiwemo Mbeya na Morogoro.

Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa, kambi ya wiki moja itawekwa mkoani Kagera kwa ajili ya zoezi hilo litakaloanza Agosti 23 hadi 29, 2024 siku ambayo timu yetu ya Young Africans itacheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba.

Ratiba kamili ipo hivi;

Agosti 23, 2024 Rwamishenye

Agosti 24, 2024 Misenyi/Mutukura

Agosti 25, 2024 Karagwe/Kyerwa

Agosti 26, 2024 Ngara

Agosti 27, 2024 Muleba

Agosti 28, 2024 Bukoba Mjini

Agosti 29, 2024 Kaitaba

Slot Pulsa|info@admin.com|https://administrator.microtor.co.uk/|Slot Pulsa backlink

Slot Pulsa|info@admin.com|https://administrator.microtor.co.uk/|Slot Pulsa backlink

Slot Pulsa Gemilang77

Slot Pulsa Gemilang77

Sumber : Jalalive